The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
😂😂Kweli tena,Dah... Hata wewe TH[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mh mbunge[emoji23]..[emoji23][emoji23]Kweli tena,
Ndio Mh.😂Kwamba mh mbunge[emoji23]..
😂😂😂😂😂😂😂safi kabisaAsante sana binti mpole.. [emoji23][emoji23][emoji23] nipo na watatu sasa hivi,namshukuru Muumba kwa kweli
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi kabisa
Hahaha huu ukarbisho wako ni [emoji119]Ndio Mh.[emoji23]
Nipo poa kabisa mh ningeHahaha
Uko poa lakini? Uzima upo hapo?
Haha hiyo mh sasaNipo poa kabisa mh ninge
Uzima upo maana wapambe,wagombea,wasemaji,washika dau mmeanza kurudi home sweet home
Nakusalimia bro...kabla VPN yako haijapata kwikwi [emoji870][emoji870][emoji870]Ndio kwanza trailer,movie kamili linakuja
😂😂😂😂😂😂Haha hiyo mh sasa
Machawa tumeanza kurudi kwa kweli, ni jambo jema
Waaow na vpn wanaweza fungia?Nakusalimia bro...kabla VPN yako haijapata kwikwi [emoji870][emoji870][emoji870]
Amelichukua jimbo la Mh. Lissu au la nani?Ndio Mh.[emoji23]
Nimejifunza mambo mengi sana. Siasa aisee siyo mchezo...Nipo poa kabisa mh ninge
Uzima upo maana wapambe,wagombea,wasemaji,washika dau mmeanza kurudi home sweet home
Asante bro, heshima yako pia..mimi sijambo, hope haujambo pia..Nakusalimia bro...kabla VPN yako haijapata kwikwi [emoji870][emoji870][emoji870]
Watu wanapoteza uhai kabisa huko. Waganga wamevuna pesaza kutoshaNimejifunza mambo mengi sana. Siasa aisee siyo mchezo...
[emoji23][emoji23][emoji23] broAmelichukua jimbo la Mh. Lissu au la nani?
Afadhali tumepata mbunge angalau mmoja humu. Tumuombee sasa aukwae uwaziri hata kama ni unaibu [emoji1545][emoji1545]
Ndiyo wanaweza. Walinunua mitambo ya Israel naona. Ukichanganya na ya Mchina basi hakuna linaloshindikana. Inaonekana TCRA wako vizuri sana !!!Waaow na vpn wanaweza fungia?
Basi Tumshukuru Mungu bro [emoji16][emoji16][emoji16]Asante bro, heshima yako pia..mimi sijambo, hope haujambo pia..
VPN yangu ipo salama kabsa, hawaniwezi hawa!!