Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushapiga kura lkn?Au hujachukua 'makaratasi' ya kupigia kura bado?
Nilishapiga kwa njia ya posta. Leo misururu ilikuwa mirefu sana na hii Korona mh. Leo silali mpaka nijue nani kapigwa japo bwana Trump keshachimba mkwara kuwa akishindwa basi atakuwa kaibiwa tu na amewataka wafuasi wake wasikubali. Ngoja tuone itakavyokuwa!
 
Tulipofikia bila 'stimulus' fenesi ni mwendo wa kulala doro mwanzo mwisho [emoji3][emoji3][emoji3]

Shemeji muwe na uchaguzi mwema, msisitize Yegomasika kuwa huu sio muda wa kudhurura madukani kununua tumaua na tugauni twa kuhonga honga, atulie nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…