moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wasukuma tuko juu. Akitoka hapo anakwenda kupiga palizi ekari nzima [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mvua zimeenda sasa wanataka watoto. Usikute keshatoa mimba kibao ujanani huko...
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Akikujibu nami nishtue.Mimi bado nimo gizani. Ni nani huyu ankoo wako asiyebadili mlalo wa mwandiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma.Anko wangu kutoka kanda ya kati... Tajiri fulani wa madini na mtani mkubwa wa Wasukuma.
Ni kijana wako wa karibu zaidi kuliko hata binti mpole au Davet na Bradha japo sio capitalpool wala Mkokaa ingawa Taavid sijui yuko wapi, achana na Daemusin,mwandiko wake upo Kikorea zaidi.
Drive German π€
Mimba anapewaje?? Kwa posta
πππππ[emoji123][emoji23][emoji28][emoji19][emoji120][emoji1]View attachment 1632512