Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika, kazi yangu nayofanya sasa ni matunda ya wema niliofanya mwaka 2014 kwa mtu ambae sikuwahi kujua kama anaweza kulipa kwa namna hii.
Mwaka ule alipitia changamoto nyingi na hakuwa na kazi, hivyo nilichofanya mimi ni kuwa namtoa pesa kidogo na kumfanyoa application vile hakuwa na laptop (tulisoma wote chuo). Badae akapata lazi ya kawaida tu na mawasiliano yakabaki ya mara chache sana.
Ikawa imepita miaka kimya kimya, mwaka huu mwezi wa tano nikaona call yake, hata moyo ukalipuka sana. Akaniambia nimtumie email yangu personal, nikatuma thereafter nikaona offer letter ya kuitwa kazini.
Kuja kujua bhana yule dada kumbe ndio big boss aiseeee.
 
Safi kbs, sio yeye tu. Hata mimi mdogo wake nawakilisha vyema kundi la wasukuma[emoji3][emoji3][emoji3], mie kwangu nacheka na kila mtu.
Halafu kwnn hutaki kurudi tukuyu?
 
Na hayo ndo maisha sasa. Japo wengi huwa hawakumbuki wakitendewa wema na wanaweza kugeuka na kuwa maadui wakubwa lakini wema ni wema tu na mimi naamini ndiyo kusudi letu mojawapo kuu katika dunia hii: Kutendeana mema na kupendana - kivuli hafifu tu cha upendo mkuu wa Mungu kwetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…