Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Mungu azidi kumjaalia afya njema na maisha marefu[emoji120][emoji120]Happy birthday by Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefanya naye kazi za muda mfupi mtandaoni tu pasi na kumuona.Mungu azidi kumjaalia afya njema na maisha marefu[emoji120][emoji120]
Umesema ni boss wako? Vipi, ile tabia ya umswati aionyeshayo humu na huko kitaani anayo? Kama ni hivyo,basi, Mwenyezi Mungu azidi kumtunuku miguvu mingi na weledi wa kushugulika na shughuli aipendayo hapa Duniani.
Happy birthday to Him/HerHappy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba bado viungo vyake unavyo??Happy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy birthday The don, Nakuombea Neema na baraka tele maishani, Siku zote usiache kutushauri vijana wako popote tunapohitaji msaada Wako... hata mimi nafurahia uwepo wako na nashukuru kukufahamu!.πHappy bday SHIMBA YA BUYENZE najua leo ni siku ambayo ina mixed feelings kwako.
Nina mengi ya kukuombea kwa Mungu.
U mtu wa tofauti sana,nimepata bahati ya kuwa kati ya wale wanaofurahia uwepo wako.
Naomba nichukue nafasi hii kukutakia kila lililo la kheri katika maisha yako.
Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo.
Akuongezee hekma,busara na furaha katika maisha yako,uishi miaka mingi kadiri ya mapenzi yake.
Happy bday shem darling[emoji322][emoji323][emoji323][emoji8][emoji8][emoji8]
Uzidi kubarikiwa siku zote
ππππ Nilisema simalizi mwaka bila kugawa jimboThe Happiness hizo habari huko juu zimepandisha sukari na presha yangu imeshuka[emoji24][emoji24]
Yaani kweli totoo kawekwa benchi[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23]nacheka lakini naogopa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilisema simalizi mwaka bila kugawa jimbo
[emoji23][emoji23][emoji23]nacheka lakini naogopa.
Ngoja nikadake chozi mimi jamani.
Mzima lakin mrembo?december inakupelekaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona nimepata wivu ghafla.....December ni heri tu mpenz, naomba iendelee hivi hivi [emoji847]