Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi tulio zaliwa December nini kimetukumba kupenda kuangalia hizi neema za hapa Duniani?!!!
 
Kuna Binadamu wanaletwa Duniani kwa ajili ya Binadamu wenzao, japo ni wachache na ni maskini kabisa lakini wamewekeza utajiri wa faraja kwenye Nafsi za watu wengi sana.
Mtenda mema hapa Duniani huinuliwa na wanadamu, kwa Mungu ni thawabu na pumziko lake ni Peponi.
Tumuombee maisha marefu yenye afya njema. Vile vile kale kabinti kake tukaombee katimize ndoto zake kaje katutibu uzeeni tezi nanihii...

Mungu akubariki Shimba [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…