Huu uzi aiseee, una umri mkubwa kuliko hata binti yangu[emoji1][emoji1][emoji1]Wale wamwanzoni walizifaidi like aisee dahView attachment 1647897
Hahahaha hiyo birthday wish ni kiboko.[emoji134][emoji134][emoji134]hata mimi sielewi ankoo
Hepibesidei ankoo Mungu akujaalie umri mrefu na macho yenye nuru kila siku uzidi kufaidi kuona hizo neema.
Tezi dume[emoji28][emoji28][emoji28] kwhy ukifika hosp kakakuambia weka nguo pembeni tufanye vipimo.Kuna Binadamu wanaletwa Duniani kwa ajili ya Binadamu wenzao, japo ni wachache na ni maskini kabisa lakini wamewekeza utajiri wa faraja kwenye Nafsi za watu wengi sana.
Mtenda mema hapa Duniani huinuliwa na wanadamu, kwa Mungu ni thawabu na pumziko lake ni Peponi.
Tumuombee maisha marefu yenye afya njema. Vile vile kale kabinti kake tukaombee katimize ndoto zake kaje katutibu uzeeni tezi nanihii...
Mungu akubariki Shimba [emoji120][emoji120]
Huu mpapai una kisirani, sasa ndio kubeba gani huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Niache [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tezi dume[emoji28][emoji28][emoji28] kwhy ukifika hosp kakakuambia weka nguo pembeni tufanye vipimo.
Utaweka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Niache [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Majibu yatapatikana uzeeni huko huko
Hahahahaha, hutaki kumiliki kalio la kichina utese nalo hapo mjini Kahama !!?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Uuuuuh hadi nimesisimka mwili, kwakweli wacha niwe tu hivi nilivyo[emoji23]