Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaogopa kumuuzia bidhaa/huduma rafiki yako kwa bei halali eti kisa ataona bei kubwa hivyo unampunguzia bei.

Sasa huo urafiki wenu una maana gani hasa?

Na wewe kama rafiki acha kutegemea special treatment kwenye biashara za watu hata kama ni rafiki zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…