Hahahaha...dah..Nimekuona ulivyo litupa begi la madaftari kibarazani baada ya kuiona simu ya mshua kwenye stuli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ichezee tu akiamka una log off
Au uo mkonyezo w avatar unawadatisha hawaoni kitufe cha likesPoa poa
Naona likes mnazidunda haswaaaa
Mbona wengine wananipita!!! Eeeeeh
Acha atapata jibu lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mzee wewe
Leta mzinga kabisa leo nimshushe mikono[emoji482] [emoji482] [emoji482]Weitaaaa leta nyingine[emoji482] [emoji482] [emoji482]
Niko tayari kwa lolote ama kupambana mpaka tone la mwisho kuliko kuona unaitwa mpenzi na vivulana!Kwa kweli huu Uzi unanifanya nismile kila saa...
Kesha tapanya mali hovyo hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yataka moyo kuwa libaba kama hili fujaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msubirie nanihi...labda
Ngoja aje maana anasema anataka faragha.Ha ha haaaaaa
Nina quotes kama 60 sijazisoma za masaa machache yamepita.... ananitafutia nini kijana!?
Bado sanaSasa hivi anakaribia kitoa album
Hahahaha dah...huu Uzi raha..Nawatangazia kuwa Ndugu yetu Uniq kwa hiari yake pasipokurubuniwa, kutishwa, kulazimishwa kuanzia sasa kaamua kuacha kumsumbua bibi wa wenyewe babe s,
Anafuta semi zote na kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkwaza wakati wa kutaka kulazimisha uhusiano ambao haukuwepo wala hajawahi kumuona huyo babe s,
Alikuwa na malengo ovu kwa kutaka kumharibia babe s kwa Ho chi mihn wake ampendaye.
Leo tarehe July 8 2017.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Shimba hajaeleweka vizuriHahaha...kama Shimba ya Buyenze!??[emoji12] [emoji12]