Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndio maana watu wanashauriwa hata ukiwa unayoa basi usipige UPARA kabisa bali zipunguze kimtindo tu... Simaanishi uziache uwe rastaman hapana ila kiafya sio salama ukipiga kiparaMavuzi hukusaidia kukulinganisha na michubuko na pia hukukinga dhidi ya bacteria mbali mbali wanaotaka kushambulia eneo hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunia ina watu billion 7.8 ila idadi ya wanaume ni billion 3.7 lakini katika mtandao wa Facebook idadi ya akaunti za wanaume ni billion 5.6 .
Salaam za Krismass toka kwa mchizi wetu anayeishi kisiwa cha Ukara, Ukerewe Mwanza.
Msione vyaelea ziwani mjue ni mali za watu View attachment 1658756
Aiseekwa sabab unapopiga kipara kabisa huacha matundu ambayo kwa macho huwezi kuyaona ila hayo matundu ndio huleta muwasho lakin unapokutana na mtu kimwili huenda kukusababishia magonjwa ya ngozi au magonjwa ya ngono... hivyo sio ukitaka kwenda kuonana na mchepuko ujipige kipara ukadhan ndio usafi