Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangazo kwa kila anayenipiga vita.
Kichwa kichafu kaamua kunisaidia kasema tutahakikisha kila zizi la aliyekuwa upande wa pili linavamiwa na kuvunjwa!
Nilitaka kuwaorodhesha wahanga watarajiwa wa zoezi hili litakaloanza jumatatu tar 10 lakini kutokana na sababu zakimaadili hatutowatangazia majina hayo.
Ili kuwa salama jisajiri upande huu unaotoa tangazo.
Wazee wa Ikwiriri na Kibiti.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi hauna maana,unaingia kulala hata haujamaliza kujifunika unaivuta simu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mnamcheka Chid Benz eti kashindwa kuacha unga. Nyie mnaweza kuacha uzi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…