Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tumefurahi u mzima mpendwa wetu
Sawasawa Mkuu.. sisi wazima na tuombeane uzima tu ndio muhimu..Natumaini inaendelea vizuri
Asanteni wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Karbu tena Bro!!! Tulimiss uwepo wako hapa jukwani...
Hope uko poa wewe pamoja na wapendwa wako hapo ulipo!
AiseYeah! Labda kiingereza cha chato! Lakini cha Waingereza hukijui asilani.
View attachment 1692564
AminMungu awapunye wagonjwa wote.. [emoji120] [emoji120]
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni wagonjwa wote..[emoji120][emoji120]
Amin[emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Zama hizooPoleni wa sokoni na dukani...
Hakika Mungu atamfanyia wepesi [emoji120][emoji120]Mungu amponye...
Kiwangwa mojaWakulima hongera sana...
AminMUNGU MWENYEZI TUKINGE NA KUBANWA PUMZI[emoji120][emoji120]
Mwaga likes umwagiwe like mkuungoja na sisi tuje kulike na kulaikiana 😀
[emoji120][emoji120][emoji120]
Ndiyo hivyo.Duh! 53 YO! [emoji847][emoji847][emoji847]
Amin[emoji120]Jioni iwe ya amani