Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Hapo mwanzo, kabla ya maridhiano watu wenye nasaba za upinzani walikuwa hawapewi Zan IDs. Kulikuwa na ubaguzi. Lakini sasa, serikali ya Mwinyi imetoa onyo kwa Sheha yeyote atakayemnyima mtu barua kwa ajili ya kupata si tu kitambulisho bali huduma nyingine. Hii ni ishara nzuri"KC
 
"Maalim alikuwa akituhadithia, mara zote ambazo yeye kama Makamu wa Rais alipokuwa akifanya majadiliano na Rais (Shein) walikuwa wakifanya Ikulu lakini nje ya ofisi ya Rais. Lakini Mwinyi alipomuita siku ya kwanza, alimuita ndani ya Ofisi ya Rais. Hili ni ishara ya heshima aliyonayo Mwinyi"
Zitto Kabwe Clouds 36
 
Am backπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Numbisa jamani bado tu mods wamemng'ang'ania?
View attachment 1706414
Huko aliko nadhani kakaa hivi kumwangalia "Mod mkata majina"


Hawa yuu Anko binti mpole popote [emoji137][emoji137][emoji137]

Nakumbuka mwaka fulani miezi kama hii alipotea hivi hivi kumbe akawa amepatwa na tatizo. View attachment 1706518
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anko bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…