Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa ameshaula.
Nilidhani atapewa Juma Duni Hajji.
Kwanini hawajampa Duni
  1. pengine umri wake, duni ana miaka 70
juzi moja nilikaa kibaraza cha kahawa kupata tetesi za mrithi wa seif (kama kawaida jina la othman lilitajwa zaidi).
alikuwepo kiongozi mmoja wa ACT alisema hivi juu ya juma duni:
  1. kwa sisi tunayemfahamu juma duni ana chembe chembe za ubaguzi wa upemba na unguja, kama atachaguliwa yeye itakuwa ni tatizo hata huku chini
  2. juma duni alishaonywa zaidi ya mara mbili na maalim seif juu ya tabia hiyo
  3. ilifika hatua maalim aliitisha mkutano wa wapemba na waunguja kwa nyakati tofauti (kwa viongozi tu wa chama)
  4. ndio maana hata kipindi kile aliletwa bara awe mgombea wa makamo wa raisi wa lowassa ili kuepusha ujinga ujinga.
sasa sijui kama kuna ukweli wowote au ni maneno ya vibarazani
 
Lisemwalo lipo..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamaniiiii
Numbisa amekuwa hana utofauti na marehemu christopher mtikila
  1. majibizano yeye
  2. gerezani yeye
  3. ban yeye
  4. mchungaji yeye
  5. diamond yeye
  6. sepetu yeye
  7. katerero yeye (sauti ya magufuli), sijajua maana yake mpaka leo
  8. siasa yeye
  9. tamu za numbi yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…