Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NANUKUU;-Friends are greate to have,their importance can not be overestimated.From the very earliest stages of life,friendship has been natural part of the human condition.If you need to ask yourself why you need friends,then i will give you some great reasons why having friends is not only necessary.It is a positive aspect of our lives.
 
1/WANAKUONYESHA WEWE NI NANI-Kwa lugha ya kitaalamu tunasema They show you who you are,nafikiri hapo umenipata fresh.Tulio wengi huwa na marafiki ambao kimsingi tunaendana kwa maana ya tabia,kufikiri pamoja na vitendo.Kwa maana hiyo basi ni rahisi kwao kuwa msaada wa kutosha ktk kile ambacho tunafikiri au kukifanya kwa kututia moyo na nguvu ya kusonga mbele.
 
2/HUWA MSAADA KTK NYAKATI NGUMU-Ama kwa lugha ya kitaalamu tunasema A shoulder to lean on,nadhani tumesomana fresh kidogo.Kuna wakati flani kama binaadamu huwa tunakumbana au kukabiliwa na nyakati ngumu,wakati ambao huwa tunahitaji support au msaada kutoka kwa watu zetu wa karibu ambapo kimsingi huwa ni marafiki zetu au pengine ni ndugu zetu.Mfano wakati ambapo unakuwa umeondokewa na mpendwa wako au wakati ambapo umefukuzwa kazi na nyakati nyingine ngumu.
 
3/HUTUWEKA KTK MSTARI MNYOOFU-Ama kwa lugha ya kigeni tunasema They keep us in line,najua umenipata fresh hapo.Sasa kama ijulikanavyo na ndivyo ilivyo kwamba hakuna binaadamu aliye mkamilifu isipokuwa mwenyezi mungu pekee.Sasa hapa marfiki huwa na jukumu zito la kukuondoa wewe kutoka ktk makosa na hatimaye kukurudisha ktk mstari ulio sahihi.Utakubaliana na mimi kwamba ni rahisi sana kwa rafiki kukuambia ukweli pale inapostahili au kuhitajika kuambiwa ukweli.
 
3/HUTUWEKA KTK MSTARI MNYOOFU-Ama kwa lugha ya kigeni tunasema They keep us in line,najua umenipata fresh hapo.Sasa kama ijulikanavyo na ndivyo ilivyo kwamba hakuna binaadamu aliye mkamilifu isipokuwa mwenyezi mungu pekee.Sasa hapa marafiki huwa na jukumu zito la kukuondoa wewe kutoka ktk makosa na hatimaye kukurudisha katika mstari ulio sahihi.Utakubaliana na mimi kwamba ni rahisi sana kwa rafiki kukuambia ukweli pale inapostahili au kuhitajika kuambiwa ukweli.
 
4/KUPITIA WAO UNAWEZA KUWA WEWE-Pengine hapa nimetumia kiswahili kigumu ila kwa lugha ya kitaalamu tunasema So with them you can be yourself.Hapo kama nimekupa Idea enhee.Ni wazi kuwa unapokuwa na rafiki,inakuwa rahisi kujiamini(being comfortable),hapa sasa unaweza kutoa wazo au fikra zako bila ya kuwa na aibu kwa sababu ukiwa nao unakuwa wewe kama wewe.Kama haitoshi basi mbele ya rafiki zako inakuwa simple hata kubadili nguo mbele yao au hata kulala ndani ya chumba kimoja.
 
KUKATA TAMAA NI NINI?.Kukata tamaa ni hali ya mtu kuwa njia panda au kukosa matumaini kutokana na kuzimika kwa ndoto au matarajio yake.Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mtu kukata tamaa kutegemea na mazingira aliyopo.Mtu anaweza kukata tamaa kutokana na sababu za kimapenzi,elimu na kadhalika.
 
UTAMJUAJE MTU ALIYEKATA TAMAA?.Mtu anapokuwa katika hali kama hiyo huweza kufanya au kuamua kufanya lolote bila kujali athari au matokeo yake.Kuna baadhi ya wataalamu waliwahi kumfananisha mtu aliyekata tamaa sawa na mlevi kutokana na uwezekano mkubwa wa mtu huyo kufanya jambo huku akiwa hajielewi au pengine kufanya jambo bila kufikilia.
 
UTAMSAIDIAJE MTU ALIYE KATA TAMAA?.Kuna njia kadha wa kadha za kumsaidia mtu aliyekata tamaa baada ya kumtambua ambazo ni,i

/Faraja

Kumfariji mtu si jambo linalohitaji elimu kubwa,kwani kila mtu amejaaliwa kuwa na uwezo huo.Ni swala la kumtia moyo na kumpa mifano iliyo hai ya watu waliowahi kukumbwa au kukutwa na hali kama hiyo.Mfano kama amekata tamaa ya kupata mpenzi amtakaye baada ya kusalitiwa mara kadhaa,unachotakiwa kufanya ni kumpa mifano ya watu ambao anawajua na kuwafahamu fika jinsi ambavyo wamepitia misukosuko ya kila aina mpaka kufikia walipo na kudumu kwa mika kadhaa.
 
ii/Ukaribu

Moja ya jambo linaloshauliwa na wataalamu waliobobea ktk maswala ya saikolojia ya watu,hushauri watu walio ktk nyakati ngumu ktk maisha yao kuepuka kukaa peke yao kwani hali hiyo hupelekea mtu kuwa na mda mrfu wa uwaza na kwa kuwa nyakati ngumu humfanya mtu kuwaza sana mwisho wa kuwaza sana mara nyingi huwa sio mzuri.Kuwaza sana hufanya muwazaji kufikia ukomo wa kufikiria na punde afikiapo hatua hiyo huanza kufikiria mambo mabaya,wazungu huita “negative thinking capacity”.Hivyo jaribu kuweka ukaribu na mtu wa aina hiyo ili kumfanya asiwe mtu wa kukaa peke yake huku ukimuongelesha ongelesha.
 
ANACHOTAKIWA KUFANYA MHUSIKA MWENYEWE BAADA YA KUWA KTK HALI HIYO YA KUKATA TAMAA

Uzuri wa hali hii ni kwamba,mhusika mwenyewe anaweza au anakuwa na uwezo wa kuji_control ingawa si rahisi na si kila mtu anakuwa n uwezo wa kufanya hivyo,ila leo nitakupa njia ambayo inaweza kukusaidia wewe kukuvusha ktk hali au wakati huo.Baadhi ya wanafalsafa duniani wamejaribu kutoa misemo mbalimbali ya kuwasaidia watu walio ktk hali ya kukata tamaa,na imefahamika kuwa njia nzuri ya kumpa mtu nguvu ya kusonga mbele ni maneno ya kishujaa na ya kutokata tamaa pindi ukutwapo na wakati mgumu,ila kwa leo acha nikupe huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…