Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
Mbona amefunika
Mbona amefunika
Karibu ndugu yangu. Karibu ule parachichi kwa raha zakoNaku zoom tu we jamaa. Next week natia timu rasmi kule tukuyu.
Noma sana
Nimepona jamani, makofi kwangu tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3].
Sasa natembea kifua mbele
Mungu ni mwema bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Huyo mzee wako wa Kinyaki sasa ni full magego anahondomola tu. Bakia salama dadangu...Nimepona jamani, makofi kwangu tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3].
Sasa natembea kifua mbele
Dada. Nini tena hiki? Unakwenda kwa huyu huyu "tapeli" aliyetudhulumu mahari? Jamani? Why? Ni Fenesi? [emoji51][emoji51][emoji51]Naku zoom tu we jamaa. Next week natia timu rasmi kule tukuyu.
Dada langu la nguvu. Nakusalimia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Busara isipotumika hii ishu itakuja kutucost sana kiuchumi na maisha ya watu wetu.
Mimi mzima kaka yangu wa faida ππ. Habari yako? Uko poa wewe na wapendwa wako?Dada langu la nguvu. Nakusalimia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Busara isipotumika hii ishu itakuja kutucost sana kiuchumi na maisha ya watu wetu.