BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Jizazi!
[emoji23][emoji23]abui anazinguaMiss u too, umeadimika kama biskut za breakfast ya abuiii
Yaan yule ni chiziAnafurahisha sana na vituko vyake
Sijambo jiraniJirani hujambo...
Mimi namshukuru Mungu kwakweli bado ananipambania[emoji120][emoji120]Nimeona likes zako nikashtuka. Long time no see. Are you OK? Huko uliko changamoto za upumuaji zikoje? Mungu Akulinde sana shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yes, hilo boksi na wewe unaweza kupata lako. Tena hizi ni sawa na energy drink (japo hazijashindiliwa caffeine). Ukila kimoja tu kinakupa sustained energy kwa masaa manne non stop. Zitakufaa sana kwenye shughuli zako. Nipe tu anuani yako ya posta na ndani ya wiki moja utazipata. Endelea kubarikiwa shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usijali maa.Miss you more kipenzi[emoji8], Usiadimike sana Jaman nakonda mimi
Mungu akawe faraja yako kuu[emoji120][emoji120]Asanteni sana ndugu zangu kwa kunipa faraja hasa hasa kipindi hiki, sina cha kuwalipa Mungu awabariki sana,
Mzima dear, sijui wew.!Usijali maa.
Mzima weye??za kwetu?
Jamani[emoji134][emoji134]Mzima dear, sijui wew.!
Kwetu kuzuri mamy.. mvua tele, pitiku sasa[emoji39]