Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana Mkuu hali bado ni tete. Kuna baadhi wanakwepa hata kutia mguu Bongo sasa hivi. Dada mmoja nduguze walikuwa wanataka aende akamuone labda kwa mara ya mwisho kwani mama yao ni mgonjwa mgonjwa na ni mtu mzima sana. Dada kawaambia kwa sasa hawezi kuja labda hadi atakapopata chanjo.
Hasa siku hizi. Jamaa yangu niliongea naye last month huko Dar tukapanga mambo mengi tu tuonane Summer jana namtafuta naambiwa kumbe alishavuta na hii changamoto ya upumuaji. Alikuwa senior commander wa jeshi la Polisi. Extremely sad !!!
 
Amefanya vyema. Hasa kama naye umri ni mkubwa na/au ana ishu zingine za kiafya. Life is very precious just to gamble it on these nincompoops !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…