Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wabongo na uvumilivu wapi na wapi yaani zama hizi ndo nimeelewa enzi za ukoloni watu waliishije
 
Manchester City haitafuatilia mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, 22, mwisho wa msimu huu kwasababu ya mahitaji ya mshahara ya mchezaji huyo, huku mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, au mshambuliaji wa Inter Milan na Ubelgiji Romelu Lukaku wakiwa mbadala wake. (The Athletic - subscription required)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…