Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamevumilia vya kutosha na sidhani kama walipanga hii interview itangazwe wakati Babu yao akiwa mgonjwa bali imetokea kama coincidence tu.
Inaogopesha lakini pia walitakiwa waangalie hali waliyonayo akina P william maana mzee wao yupo ICU bado wanakabiliwa na vugu vugu la malkia kupunguziwa madaraka hasa kule canada.
 
Wamevumilia vya kutosha na sidhani kama walipanga hii interview itangazwe wakati Babu yao akiwa mgonjwa bali imetokea kama coincidence tu.
Waaow hope so nilikua naipenda hii couple kama CR7 vile ila daah nimejitoa kwenye ushabiki wao nimebaki mpenzi mtazamaji,maana kuna mengi hatuyajui. Na pia nahisi au naona kama wanatumika tu hasa Harry ambaye hajazoea masuala ya attention za media kwa ukaribu zaidi bila kulindwa kama alivyo kua kwenye cheo cha uprince. Hii battle wangeimaliza tu haina faida. Harry ana vingi vya kupoteza kuliko Meghan
 
Walijitahidi sana kuimaliza kimya kimya lakini wakakosa ushirikiano hivyo wakaamua kusepa. Mimi nawapenda sana na huyo Prince Harry hakubali ujinga ujinga uliopitwa na wakati.
 
Wamevumilia vya kutosha na sidhani kama walipanga hii interview itangazwe wakati Babu yao akiwa mgonjwa bali imetokea kama coincidence tu.
Wamepiga hela ndefu pia. Lilikuwa kosa kwa Buckingham Palace kuwaondolea posho na ulinzi mpaka wanakuwa watu wa kusaidiwa na watu baki akina Tyler Perry. Naamini motive mojawapo ni pesa; na haya yote yangeepukwa na angalau kupunguzwa kama wangekuwa na financial security.
 
Hili la kukata financial assistance pia kuwaondolea security pamoja na kuwa wanatumiwa vitisho vya kuuawa mimi limenishangaza sana kusema kweli. Thanks God Lady Di alimuachia Prince Harry bulungutu nadhani ni £10.3 million ndiyo iliyowawezesha kununua nyumba USA na hata ulinzi kwa miezi mitatu ya kwanza walilipiwa na Tyler Perry na kuishi kwenye nyumba yake.

Nadhani hawa walidhani Prince Harry baada ya kuona maisha yamekuwa magumu angemdivorce Meghan hawakutegemea kama wangesepa. Sasa imekula kwao hawajui namna ya kuzijibu tuhuma nzito.
 
The Monarch. Wezi wakubwa. They plundered the whole world. Ni ukoo na familia iliyolowa damu kutoka dunia nzima. Acha nao watingishike kidogo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…