Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣maskini hadi muda huu breaking news unayoisubiria haipo acha uuaji. Huna tusi jipya anchovy head
Hujitambui wewe una roho mbaya sana ndiyo sababu una muunga mkono huyo dhalimu. Na wala huoni tatizo huyo dhalimu for more than 2 weeks now haijulikani alipo wewe mwenye UFINYU wa akili unajionea sawa. Mitano mingine kwa dhalimu
😂😂😂😂😂
[emoji120][emoji120][emoji120]
SGR Moro station View attachment 1725410
Shida yetu ni utunzaji wa hizi Mali za umma. Ni dhana ya Watanzania kuwa mali ya umma ni ya kuchachakua tu. Utashangaa unapita miaka miwili ijayo hapo unakuta kila kitu kimeshaharibiwa. Kama tungekuwa vizuri kwenye hiyo falsafa jumuishi ya kuwa kitu cha mali ya umma pia ni changu nchi hii ilikuwa tayari kunyanyuka na kuonekana...
Mchawi lazima amfahamu mchawi mwenzie.wote tuna roho mbaya.nakuombea pepo chafu likutokea.
Pepo la mauaji,pepo la roho mbaya. Anyway kachome chanjo maana magu keshawachanganya hamjui yuko wapi kati ya kenya ,india,au mzena
Kwa akili yako FINYU. Hata wanyama kule porini huwa wanalindana dhidi ya shambulizi la aina yoyote lakini si wewe mwenye roho nyeusi UNAYEKENUA kuhusu maovu ya kutisha wanaofanyiwa Watanzania mbali mbali nchini. Akili yako itakuwa na MUSHKELI mkubwa sana.
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Tangu jana hadi jioni hii unarudia maneno yale yale. Ee Baba wa Mbinguni tunaomba ulinzi wako Mtakatifu kwa MAGUFULI Rais wetu mpendwa. AMEN kubwa.
Tangu jana hadi jioni hii unarudia maneno yale yale. Ee Baba wa Mbinguni tunaomba ulinzi wako Mtakatifu kwa MAGUFULI Rais wetu mpendwa. AMEN kubwa.
Tangu jana hadi jioni hii unarudia maneno yale yale. Ee Baba wa Mbinguni tunaomba ulinzi wako Mtakatifu kwa MAGUFULI Rais wetu mpendwa. AMEN kubwa.