Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Firigisi hii hii ambayo ni firigisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unakwepa swali langu lakini? Lini ulianza kukumbatia maovu ya kutisha dhidi ya Watanzania? Watakatifu na maovu hawawivi chungu kimoja mtakatifu Anne.
Kwani BAK unamaanisha firigisi ipi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naijua ya kuku..

Yaani hadi muda huu hujanijibu swali langu japo moja tu[emoji4]
 
🀣🀣🀣🀣🀣hiyo hiyo ya Kuku au weye ulitaka ya bata? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watakatifu wanapinga maovu siku zote hivyo kwa kuwa wewe ni mtakatifu na mara nyingi humu nimekusoma ukisimamia hilo basi jibu unalijua.

BAK ni mtu mtata sana lakini inapokuja kwenye watu waovu, wauaji, wanaotumia madaraka yao vibaya ili kudhalilisha, kuwanyanyasa kwa namna yoyote ile basi siku zote nitapinga udhalimu huo kwa nguvu zangu zote.
Nadhani nimekujibu? Au? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii tabia ya kukacha kwenda kanisani umeanza lini? 😜😜
Kwani BAK unamaanisha firigisi ipi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naijua ya kuku..

Yaani hadi muda huu hujanijibu swali langu japo moja tu[emoji4]
 
Pepo nyemelezi la kudoji ibada linaniandama[emoji23][emoji23][emoji23]
Majukumu yamekuwa mengi.

Kwahiyo kumbe unageuza tena maana firigisi na kuirudisha ileile ya kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Hivi unakumbuka kweli maswali yangu BAK?
Niliuliza wewe unataka tusimame upande gani?...(taja)
Na ningekupa nafasi ya kunishauri kuchukua kadi ya chama cha siasa,ungenishauri nichukue ipi??(taja)
Majibu yako naona si ya maswali yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaza nafasi zilizoachwa wazi,mimi sitaki maelezo mengi[emoji4]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo BAK kashikwa shati hahahahaha huondoki hapa leo hadi ujibu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mapepo hayo shauri yako mara unafuta Saint unabaki Anne tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umejuaje Kama nataka badili jina[emoji23][emoji23][emoji119]
Hivi nimetuma maombi kwa Melo atoe hiyo Saint aniachie Anne..naona sistahili hiyo[emoji23]

Majibu yangu nayaomba tafadhali[emoji4]
 
Hahahahaha nimeangalia nafsi nikahisi tu, huyu!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si bure hii Saint ataifuta sasa hivi
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Umejuaje Kama nataka badili jina[emoji23][emoji23][emoji119]
Hivi nimetuma maombi kwa Melo atoe hiyo Saint aniachie Anne..naona sistahili hiyo[emoji23]

Majibu yangu nayaomba tafadhali[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…