Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Si kila mwana CCM anaunga mkono vitendo vilivyo tendwa na hawa watu
Ni mwanzo mzuri wa kurekebisha mahali tulipo kosea na kuijenga Nchi yetu kwa misingi imara ikiwemo,HAKI, UTU, UMOJA na MSHIKAMANO, kuheshimu na kuilinda katiba ya JMT.
HAKUNA MTU YUKO JUU YA SHERIA.
Ahsante mkuu, tunazidi kuimarika. Mungu ni muwezaPoleni sana mkuu
Ahsante mkuu, kwenye imani yetu tunaamini ugonjwa ni barua. Tusijisahau,hakika tutakufa. Tuzidi kuwa na hofu ya Mungu [emoji120]Kumbe nawe ni muhanga wa homa hii!?
Pole sana
Hivi hawajui kuwa huyu bwana ana ukaribu zaidi na mama Samia kuliko hata ukaribu wake na marehemu!!?
[emoji120][emoji120][emoji120]Ahsante mkuu, kwenye imani yetu tunaamini ugonjwa ni barua. Tusijisahau,hakika tutakufa. Tuzidi kuwa na hofu ya Mungu [emoji120]
Dah nyie[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Pole sana Saint!
Utakua sawa ni vile tu mapenzi ya Mungu lazima yatimizwe.
Sisi sote hatujui kwanini hili limetokea kwa hakika! Lakini Mungu anajua.
BTW Ametoa .. Ametwaa na sasa Awe mfariji kwenu[emoji120]
Nadhani ni vile vilio vimekua vingi!Dah nyie[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hivi mbona asingemuacha amalizie tu[emoji24]
Vilio gani tena MkuuNadhani ni vile vilio vimekua vingi!
Mwache tu apumzike kwa amani.
Amen[emoji174]Nadhani ni vile vilio vimekua vingi!
Mwache tu apumzike kwa amani.