antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
DuhMshambuliaji wa zamani wa Uholanzi Marco van Basten, 56, anasema sheria ya kuotea ( offside) inapaswa kuondolewa . (Sky Sports)
🙏🙏🙏Uefa inajiandaa kuondoa sheria za Kifedha za Fair Play ili kuruhusu udhibiti mzuri zaidi wa fedha zao (La Gazzetta dello Sport via Mail)
👍Poleni walezi wa familia zetu...
HaswaaPoleni wakulima wote..Bado kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa.
👍🙏🙏🙏Mungu atupe afya na uzima🙏🙏
Mnyanyasaji nani?
AleykumSalaam
Barakoa muhimuHali bado ni tete View attachment 1734016
Kupokezana vijiti
Afadhali kuepusha maafa
🙏🙏🙏wengi tumekerekwa na maneno ya afande sele juu ya muumba wetu, lakini wengi tunamtukana huyu MUNGU kwa matendo yetu, tena yaweza kuwa zaidi ya maneno ya afande.
Simuungi mkono afande sele ila tujitafakari sote( ondoa boliti jichoni pako kisha ukatoe la nduguyo
👍👍🙏🙏Sit with winners, the conversation is different.
Ok.. Na takwimu za Tz je?
Elimu bure ilianza kipindi cha NyerereWatu wanaongea kwa mihemko tu, elimu bure si imeanza juzi tu
Aysee!Mkalimani na jiwe walikua group moja la WhatsApp
KabisaKuwa uyaone
Barakoa muhimu
HaswaaUsichukulie siriaz watu wanatania na kujifurahisha, ujue ccm na upinzani ni watsni wa jadi...relax man
Kabisa.. barakoa inakukinga na kukinga wengine piaSana Mkuu sitoki nyumbani kwangu bila barakoa tena wakati mwingine mbili kama naenda maeneo ambayo nayajua kutakuwa na watu wengi pia hujitahidi sana niharakishe kufanya kilichonipeleka kisha nisepe haraka sana.