antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
😂😂😂😂😂kuna ingine mzzngumzaji alisema kiswahili Juma Kazimia
mkalimani akawa anatasiri neno moja moja Juma akatasiri Week na neno Kazimia akaligawa mara mbili Kazi peke yake na mia peke yake akaona neno la kufaa la kazi ni Job halafu mia akaona ni hundred kwa hiyo akatafsri ya Juma kazimia yeye akasema Week Job hundred
😂😂😂Hamna weledi kwenye utani wa jadi. Wao wana dola, sisi tuna midomo.
😂😂😂Kassimu -- speed phone 🙂
huto tu headphone🎧🎧 n kwamba ndo unazozisikilizia or
namuona robato carros, cuf, samuel, didier,xavi
Ndio umekoment nini kule??😅
hv huyu jamaa atafukiwa na udongo, or atawekwa kama makumbusho😇😇😇🤪