Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
EeeUliifunga sjili yangu😅
Kupisha maendeleo ni sawa ila kutolipa fidia kwa wahanga ni ukatili! Angazia wamama wajane na mayatima ambao nyumba hizo ama biashara zilikuwa nguzo kwa maisha yaoKwa kosa gani? Bomoa bomoa imesaidia sana kuleta bara bara nzuri. Ukitaka maendeleo kuwa na roho ya kipekee
Kupisha maendeleo ni sawa ila kutolipa fidia kwa wahanga ni ukatili! Angazia wamama wajane na mayatima ambao nyumba hizo ama biashara zilikuwa nguzo kwa maisha yao
Kwao wao ni story ingine
Imenibidi nirudi kutoa like kwanza 😃 nimekua mzembe sana siku hizi!Like yangu iko wapi coco? Ile bomoa bomoa nyingi aliyoifanya ni kipindi akiwa waziri. Je alikua anajituma yeye?pesa alikua anaidhinisha yeye? Tukianza kumlaumu kwa hapo basi tusikasirike pale anaposifiwa kwa mtandazo wa lami na madaraja wa awamu alipokua waziri