Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama ni matokeo ya chanjo mnaweza msiyaone wasipochanja watu wengi iwezekanavyo (at least 75+ ya population).Twawasubiria tuone matokeo
Wana dawa nyingi hivyo watachanja wa kutosha naona saiv wanachanja wafanyakazi na viongozi.Kama ni matokeo ya chanjo mnaweza msiyaone wasipochanja watu wengi iwezekanavyo (at least 75+ ya population).
Mmmh jaman sasa mtu kama hataki utamlazimisha? Ukika na wazee akisema no ni no huwezi mlazimisha ukiogopa kumpandisha presha na mengineyoSijapenda kumwachia huyu mzee bila barakoa na tahadhari zinginezo katika misongamano hii. Yupo 90+ na akiipata tu hakuna cha msalie mtume. Mungu Amlinde!
View attachment 1735118
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Kabisaaa,tukikurupuka tu tumekwishaaaaWacha tuwafanye Rat Lab wetu🤣
Tuombeni tu kusiwe na Korona. Kama ipo kasheshe ya haya mazishi itaondoka na wengi mno. 2-4 weeks zijazo tutege sikio...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaaa,tukikurupuka tu tumekwishaaaa
Hata ikiwepo dawa hatuna na chanjo ndo hizo tena hazina uhakika. Kuwa maskini na senseless inasaidia sanaTuombeni tu kusiwe na Korona. Kama ipo kasheshe ya haya mazishi itaondoka na wengi mno. 2-4 weeks zijazo tutege sikio...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Hata ikiwepo dawa hatuna na chanjo ndo hizo tena hazina uhakika. Kuwa maskini na senseless inasaidia sana
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
I am not a prophet of doom but if there is Corona, watu wengi sana wataungana na JPM soon kutokana na hili sekeseke la mazishi. Too many super spreaer events. Watch the next 2-4 weeks![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok bro maana wakenya wametoa hadi tarehe april 9 lets wait and seeI am not a prophet of doom but if there is Corona, watu wengi sana wataungana na JPM soon kutokana na hili sekeseke la mazishi. Too many super spreaer events. Watch the next 2-4 weeks!