moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Maisha Kitendawili..Maisha !!!
View attachment 1735177
Naam. Uko sahihi [emoji122][emoji122][emoji122]Mabula
Maisha yamebadilika sana mkuuTangu msiba wa Maalim Seif ameonekana akivaa hata msiba wa kijazi
TISS. Taasisi ya kifala tu japo wanajigamba sana mtaani. Huwezi kuwa na mole miaka nenda miaka rudi anavujisha siri kubwa na kuhatarisha usalama wa taifa halafu msimkamate. Hebu fanya utopolo huu CIA, KGB au Mossad uone. Utakamatwa mara moja na hutaonekana tena.Nasubiri huu mchezoView attachment 1735280
TISS. Taasisi ya kifala tu japo wanajigamba sana mtaani. Huwezi kuwa na mole miaka nenda miaka rudi anavujisha siri kubwa na kuhatarisha usalama wa taifa halafu msimkamate. Hebu fanya utopolo huu CIA, KGB au Mossad uone. Utakamatwa mara moja na hutaonekana tena.
Kuna tatizo kubwa huko TISS na kunahitaji kusafishwa. Mabeberu wamejichimbia pale na kwa kushirikiana na hawa wanaharakati wetu uchwara wasio na mipaka mpaka siri za ndani kabisq zinavuja.
Fukuza Mkurugenzi wa TISS
Fukuza Mkurugenzi wa TCRA
Wengine watajifunza na kuufyata!
Kwa sasa hakuna aliye salama!!!
Ngoja mafisadi yarudi kwa ari mpya na nguvu mpya. Yaliko bila shaka yatakuwa yanafanya sherehe [emoji51][emoji51][emoji51]