Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mkuu, wacha kulialia.. siye tunakurundikia "likes" tuuUzi umejaa siasa mkijibiwa mnalialia na kulalamika uzi wa likes umeharibiwa.double standard
DoohNguvu hizo za umeme za samaki huyo aina ya Electric eel zinatajwa kuwa kwenye misuli na seli za mwili wake na mara nyingi nguvu hiyo ya umeme huitumia kwajili ya kujihami na maadui na hutumia wakati akitafuta chakula ambapo hutumia nguvu hiyo ya umeme kwajili ya kuwaua viumbe wakiwemo samaki wa kawaida kwajili ya kitoweo.
AyseeJe wajua : ndege aina ya humming ndioe ndege pekee duniani mwenye uwezo wa kuruka kinyumemnyume yani akiwa ametanguliza mkia mbele na moyo wake hudunda mara 1000 kwa dakika wakati binadamu moyo hudunda mara 70 kwa dadkika.