Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna anayelia lia nawaambia waache unafikiMkuu, wacha kulialia.. siye tunakurundikia "likes" tuu
SawasawaTAKUKURU msijibane upande mmoja,
kwenye vyuo vikuu vyetu kuna rushwa kubwa ya ngono..
Nendeni mkasafishe hukoView attachment 1736528
AiseeBERMUDA TRIANGLE jina lililopewa na Vincent H Caddis mwaka 1974,kutokana na maajabu yake eneo hilo pia huitwa DEVIL TRIANGLE ( Pembe tatu ya kishetani) eneo hili linapatikana katika bahari ya Atlantiki pia ni eneo linalotenganisha maeneo matatu kwanza kisiwa cha Bermuda, mji wa Miami Florida na nchi ya puertorico, eneo hilo lina ukubwa wa maili 500000.
Duh...ana damu ya mjusi huyoWIM HOF
👉Huyu ni mzungu wa Kwanza mwenye uwezo wa kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana bila kupata madhara yoyote yale.Huyu ni mtu halisi anaweza kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana.Anazo tuzo 21 za Guinness ikiwemo ya kuoga kwenye maji ya barafu kwa muda mrefu.Huyu anaweza kukaa kilele cha mlima kilimanjaro kifua wazi kwa muda mrefu
Likes zinaendelea kutolewa..Mkuu, wacha kulialia.. siye tunakurundikia "likes" tuu
Hahahahaha..Baada ya mapigano kuisha alitunukiwa medali ya ushirika mzuri akiwa vitani, kisha akapandishwa cheo na kuwa Corporal.
Haya bhana.. ngoja waje wajitetee wenyeweHakuna anayelia lia nawaambia waache unafiki
SalamaSalam za jioni
AmenMungu atupe afya na uzima
KabisaAmani na utulivu viwe kwetu
NzuriTanzania yetu
AnatishaDuh...ana damu ya mjusi huyo