D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
babu na anko wake mwanipa assignment ngumu.Daemusin anko alikua ana shida na kichina crazy neighbor nimeitafuta weee nimeikosa
Hiyo shikamoo nikaipokea yako ati...kunisalimia kwako (shikamoo) hakuondoi ukweli ya kwamba wewe ni babu bomba.
poleni na msiba, japokuwa na sisi watuhusu ila hatujawazidi nyinyi wazee wa mrima.
babu waendeleaje?
bibi hajambo?
mjukuuu aliyezaliwa jana na leo naye hajamboooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Jamaniii jamaniiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣babu na anko wake mwanipa assignment ngumu.
waendeleaje bibi wa chato,
wewe ndiye yule uliyezimia msibani ukawa bado umekamata mfuko wa soda ya mirinda?
😘😘Eewaaa... Sijawahi kujuta kukupenda binti yangu kipenzi
Alaa wewe upo?!! Kuadimika sana Anko...Anko, naamini umeshaipokea shikamoo.
Usinisahau kwenye ufalme wako.
babu hii drama mbona haitambulikani.....Babu Anko Daemusin umejileta mwenyewe. Shikamoo nimesha ipokea kwa tashwishi tele.
Naomba urejee utajwa wa huko nyuma. Chonde naomba uifanye hiyo kazi.
Mpinzani wako kakupiga ngumi ya pua damu haikwepeki kutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii jamaniiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
watu wa mwanza ndio jamii ya mwanzo kututengenezea sinema za kiswahili zenye maudhui ya kihindi ndani yake.Ndio huyo huyo
Anko nilicho waza ni kuwatambua washiriki wakuu. Startimes wamefanya huo ujinga kwasababu imewahi kuonyeshwa na TBC kwa Kiswahili, watu waliipenda sanababu hii drama mbona haitambulikani.....
ukitembelea tovuti ya star times imepewa jina la crazy neighbors, ukitembelea tovuti nyengine unakutana na jina la my neighbour can't sleep.
star times wameifanyia summary hivi:
"In Beijing, Liu and Li are two families living as neighbors in a big yard. Li's son and Liu's daughter are lovers and now they have graduated from America and come back, yet they have to hide their relationship since his father and her mother have been fighting all these years"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena ya kushtukiza. Kaniweza kweliMpinzani wako kakupiga ngumi ya pua damu haikwepeki kutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri ya mwaka mpya kwako pia Anko.Alaa wewe upo?!! Kuadimika sana Anko...
Hakika Mungu ni mwema. Heri ya mwaka mpya mpare wewe
Huwa navutiwaga sana na mgogoro wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena ya kushtukiza. Kaniweza kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heri ya mwaka mpya kwako pia Anko.
Nipo Anko, basi tuu tunapishana [emoji3]
Hili jina la mpare usilitaje kwa nguvu ( Tuna kashfa ya ukalimani anko).
Na startimes kwa google inaonyesha ya 2016 au watakua wameibadili jinababu hii drama mbona haitambulikani.....
ukitembelea tovuti ya star times imepewa jina la crazy neighbors, ukitembelea tovuti nyengine unakutana na jina la my neighbour can't sleep.
star times wameifanyia summary hivi:
"In Beijing, Liu and Li are two families living as neighbors in a big yard. Li's son and Liu's daughter are lovers and now they have graduated from America and come back, yet they have to hide their relationship since his father and her mother have been fighting all these years"
Ila amejitetea kuwa maneno ya Mwamposa hayakuwa yanamfikia yoteHeri ya mwaka mpya kwako pia Anko.
Nipo Anko, basi tuu tunapishana [emoji3]
Hili jina la mpare usilitaje kwa nguvu ( Tuna kashfa ya ukalimani anko).
🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe ushayaona yale mauno ya jul tax🤣🤣🤣🤣ila hamzidi sultan tamba na uhindi wake fakewatu wa mwanza ndio jamii ya mwanzo kututengenezea sinema za kiswahili zenye maudhui ya kihindi ndani yake.
hao watu wanajifanya wajanja sana.
saladini na juli tax