Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heri ya mwaka mpya kwako pia Anko.

Nipo Anko, basi tuu tunapishana πŸ˜€

Hili jina la mpare usilitaje kwa nguvu ( Tuna kashfa ya ukalimani anko).
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Cheiiiii
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na nsyuka je haukuiogopa?
iliwahi kunifanya nikimbie kutoka nyumba ya jirani (mtaa wa pili) mpaka nyumbani.
mbio nyingi utadhani nafukuzwa na simba
utoto ni shidaaaaa
woga umenijaa nafsini mwangu
dah!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Leo unanifurahisha mno
zipo nyengine mpaka nahama umri wa baleghe nilishindwa kuziangalia.
  1. safari
  2. mzee wa busara
  3. shumileta (hii niliangalia nikiwa tayari nishavuka miaka 22)
  4. nyengine nishazisahau zenye maudhui ya kutisha
 
zipo nyengine mpaka nahama umri wa baleghe nilishindwa kuziangalia.
  1. safari
  2. mzee wa busara
  3. shumileta (hii niliangalia nikiwa tayari nishavuka miaka 22)
  4. nyengine nishazisahau zenye maudhui ya kutisha
Niliangalia nsyuka na saladini hizi nyingine sikuangalia au labda niliziona nimesahau. Kuna tamthilia ya wakenya inaitwa tausi kulikua na kipande cha mzimu unampa kash kash mwanadada mmoja aliyekua anatesa mtoto. Kila kikifika hicho kipande moyo unapiga sarakasi kali mno utoto raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…