Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dooh.. makubwaπŸ™„
 
Hatari sana duh kumbe walimfanyia umafia mwenye mpunga wake
 
Hii habari kama inachanganya hivi,majuzi ilitumwa video ikiwaonyesha hawa Jamaa wanatembea mtaani uchi,wakasema ni wenye shamba walienda kuvuna mazao ya waliemkodishia.

Ila kiukweli kuna funzo kubwa sana,usimdharau usiyemjua,na usidhurumu mali ya mtu.
 
Kakake naomba kuona[emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…