andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Inapendekezwa unapozitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume uwe na mwenzi wako tayari sio unakunywa ndio unapanda gari kwenda kumsaka inaweza isifanye kazi au ikafanya kazi kabla hujakutana na mwenzi wako na kisha baada ya kukutana nae ukashindwa fanya chochote," Dk Mabula
🤣🤣Kukopa aibu!!!! View attachment 1750523
Duh..🤣🤣🤣Kuwa na "Six Packs" hakuna uhusiano wowote kwamba una Afya Bora, Una nguvu, Una Mbio, Una Stamina, U mwepesi 'kwa Ufupi haina uhusiano wowote na ubora wa afya ya Mwili wako'.
[emoji120][emoji120][emoji120]Good morning [emoji3590][emoji3590][emoji3590]View attachment 1750578