D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
huku zanzibar kila inapofika mwezi mtukufu wa ramadhani majira ya kutoka na kuingia kazini yanabadilika kwa wale wafanya kazi wa serikalini.Mliotoka kazini poleni..
Unaingia kazini saa mbili kasoro unatoka saa tisa. Kama ni kuswali nenda kisha urudi kazinihuku zanzibar kila inapofika mwezi mtukufu wa ramadhani majira ya kutoka na kuingia kazini yanabadilika kwa wale wafanya kazi wa serikalini.
kutoka kazini inakuwa ni saa 8:30 mchana
=================
kwa walimu wa shule trip ya asubuhi kama nitakuwa sahihi wanatoka saa 4:30 na wa mchana wanaingia muda huo mpaka saa 8:30
huko kwenu utanganyikani muunganoni vipiiiiiii?
wabadhirifu huku zanzibar unawapata zaidi eneo la kiuongozi kuliko wafanyakazi wa chini, kesi za huku nyingi zinawahusu viongozi wakubwa kula pesa za miradi ya kimaendeleo, kunyanganya watu ardhi hususani zile za ufukweni na kuwauzia wageni.Mwinyi anaogopa uadui na kuzalisha akina kigogo wengine kisha kuitwa dikteta kisa kapigania maslahi ya wengi. Watanzania sio wa kuwatolea tatizo na kuwasulubisha utachukiwa mno
injury prone, labda juve wana hamu ya kuibiwaJuventus wanampango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 23, mkataba wake utakapoisha 2022. (Mundo Deportivo - in Spanish
wanataka kutudhulumu, bora kizee ramos kuliko huyo kijana mzeeManchester United pia intake kumsajili beki wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Raphael Varane. Beki huyo mwenye miaka 27 ana thamani ya pauni million 60. (Mail)
π€£π€£π€£π€£πππIla man u kuna saa wanakirupukaga kusajili. Sijaona maajabu ya varane. Na ramos siku hizi majeruhi spana mkononiwanataka kutudhulumu, bora kizee ramos kuliko huyo kijana mzee
varane bila ya ramos ni mchezaji wa kitanzaniaπ€£π€£π€£π€£πππIla man u kuna saa wanakirupukaga kusajili. Sijaona maajabu ya varane. Na ramos siku hizi majeruhi spana mkononi
Mstari wa mwisho ndo pagumu kwa mwinyi ukizingatia katokea familia iliyoshika madaraka makubwa na ni vigumu kiongozi mkubwa kutojilimbikizia maliwabadhirifu huku zanzibar unawapata zaidi eneo la kiuongozi kuliko wafanyakazi wa chini, kesi za huku nyingi zinawahusu viongozi wakubwa kula pesa za miradi ya kimaendeleo, kunyanganya watu ardhi hususani zile za ufukweni na kuwauzia wageni.
kwa kiongozi usiyehofia muhali ni rahisi sana kuwasambaratisha watu kama hao kama utakuwa na kundi la watu ndani ya chama chako wanaokuunga mkono.
hoja kubwa inakuja hapa
je na wewe ni msafi wa kila kitu hata uwanyooshee vidole madoni wenzako?