moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kondeboy aache vitisho na kiki za kishamba. Mambo ya mitandao haya atashtaki wangapi?
SafiiViazi vitamu vina kabohidrati (carbohdrate) kidogo ikilinganishwa na vyakula vingine vya wanga, pia vina Vitamin A na huimarisha kinga ya mwili, hufanya ngozi kuwa yenye afya na kuboresha uwezo wa kuona
Kweli kabisa..Kansa huweza kuzuilika kirahisi kwa kuishi kulingana na mtindo bora wa maisha. Mtindo bora wa maisha unatia ndani kufanya mazoezi. Seli za saratani huhitaji sukari (glukosi) ili kushamiri, unapofanya mazoezi unazinyima chakula na kufa
Hongera mkulima..[emoji120][emoji120]View attachment 1752803
Uhandisi huo...
Fukwe safi kabisa
Ndiyo maana tunasema "Ushamba mzigo"Kondeboy aache vitisho na kiki za kishamba. Mambo ya mitandao haya atashtaki wangapi?
Kumbe Tanzania nasi tumo[emoji849][emoji849]Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi mwaka 2021;
1. Afghanistan
2. Zimbabwe
3. Rwanda
4. Botswana
5. Lesotho
6. Malawi
7. Haiti
8. Tanzania
9. Yemen
10. Burundi
Chanzo: World Happiness Report
Akikaza sana anaibuka mshindi hapo anamfahamu msambazaji mkuu (ray na crew nzima ya wachafu koge) hao wengine ni wasindikizajiKondeboy aache vitisho na kiki za kishamba. Mambo ya mitandao haya atashtaki wangapi?