BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Haswaaa,
Hiyo bado ngumu,Ni sehemu moja tu Duniani:
Silfra Fissure's ndio sehemu pekee ulimwenguni ambayo unaweza kugusa Mabara mawili kwa wakati mmoja Eurasian na North American unatakiwa kwenda futi 200 chini ya maji ili uweze kuyagusa.
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe usiku mwema [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Namshukuru Allah .Mie mzima brother. Mfungo unaendeleaje?
Mpotezee tu, hana adabu huyoHapo chacha. Nmependa hii.
Kuna mtu juzi nmempa mwanawe kitu ampelekee mpk Leo hajanambia chochote. Hapa najiuliza nimtumie sms kumuuliza au niuchune tu
[emoji818][emoji818]Likes za usiku zinaendelea kutolewa..
Wali na Kibua mtamu bhana[emoji23][emoji23]
Anachonifurahisha huyu ustadhi hamung'unyi maneno.Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji. Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...www.jamiiforums.com