Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UTAFITI: Unywaji pombe kali (spirits) mfano Konyagi huongeza hamasa ya tendo la ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimsikilize Esta. Lengo lake wahenga tuteketee. Ukiwa na shida tu ya moyo kwenye hii mbinu huchomoki...halafu hata utamu huusikilizii sawasawa...

Wahenga wote tuseme hapana kwa hii mbinu. Esta shindwaaaa [emoji860][emoji860][emoji860]
 
Walikutanishwa na form UB40 Unemployment Benefits form # 40 katika maongezi wakiwa kwenye line wakagundua wana vipaji mbali mbali vya kimuziki. Hivyo wakaamua wawe wanakutana kujiburudisha na ndipo walipogundua muziki wao ulipendwa na wengi and the rest is history. UB40 ni form wanayotakiwa kujaza wasio na ajira ili wapate benefits za kujikimu na ndiyo jina waliloamua kuiita bendi yao kwani kama si hiyo form basi wasingekutana.
Enzi zao hawa wahenga...
 
Heshimu maoni ya wengine, huo ndiyo ustaraabu, haiwezekani wote wewe na msimamo kama wako.

Jifunze siasa, siasa ni kuhitilafiana pasipo kugombana
Mnafiki tu!
Kwanini wanamsimanga mtu ambaye alishakufa?

Huyu mama asije dhani wanampenda Sana,
Wanamng'ong'a tu!mwisho wa siku akistaafu wataanza kumsimanga nayeye.
 
Nitaomba toba kabla sijalala.
Mungu anisamehe tu mimi jamani.

Ila binafsi naumia sana jinsi wanavyomsakama mzee wa watu,
Amekufa,amewaachia nchi lakini bado wanamuandama chaaah!


Tena hili ni linafiki tu linataka teuzi!
Na halipati n'gooo.
Hiyo ndio Siasa na hao ndio wana Siasa ili uwe Mwanasiasa lazima uwe Mnafiki.
 
Usimsikilize Esta. Lengo lake wahenga tuteketee. Ukiwa na shida tu ya moyo kwenye hii mbinu huchomoki...halafu hata utamu huusikilizii sawasawa...

Wahenga wote tuseme hapana kwa hii mbinu. Esta shindwaaaa [emoji860][emoji860][emoji860]
Hapana kwa mbinu hiii
Esta shindwaaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mnafiki tu!
Kwanini wanamsimanga mtu ambaye alishakufa?

Huyu mama asije dhani wanampenda Sana,
Wanamng'ong'a tu!mwisho wa siku akistaafu wataanza kumsimanga nayeye.
Kwahiyo usenge wake ni upi?
Kama hutaki kulaumiwa jiweke mbali na kazi za uma.
Changamoto moja ya kufanya kazi ya uma ni kulaumiwa, haiwezekani watu milioni 60 wote wakupende na kukusifia.
Kama dini yako hairuhusu maiti kusimangwa, kuna wasio na dini ambao hawaoni hiyo tofauti.
Kwahiyo imani yako haiwezi kuwa imani ya watu wengine.
Kuheshimu mawazo ya wengine ni heshima kwako pia.
Vinginevyo jibu hoja zao kama walivyozileta, matusi ni dalili ya kukosa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…