BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nini tena jamani? Mungu Awaguse huko kusiwepo na mauti [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Arusha hali tete usiku huuView attachment 1753220
πππ
πππππππππππππUsimsikilize Esta. Lengo lake wahenga tuteketee. Ukiwa na shida tu ya moyo kwenye hii mbinu huchomoki...halafu hata utamu huusikilizii sawasawa...
Wahenga wote tuseme hapana kwa hii mbinu. Esta shindwaaaa [emoji860][emoji860][emoji860]
Mie nmeuona [emoji120]. Tupo chungu cha 3 leoNamshukuru Allah .
Mfungo unaendelea vema.
Vipi huko kwenu mwezi umeonekana au..
[emoji120][emoji120][emoji120]Una jina zuri lakini unatoa hoja nzito nzito.
Watakatifu hawana hasira za haraka kiasi cha kumwaga matusi hovyo.
Jitahidi uwe na subira.