myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa...Kuelimishana huimarisha afya ya mahusiano.
Kwa Watanzania wengi Kiswahili ni lugha ya pili
Aisee!!
Hii ni changamoto nyingine sasa.
Kila jambo huja na kusudio lake, Mungu pekee ndiye atakaye tuvusha ndugu yangu.
Ugali na mboga fulani ya unga unga anaikorogaga na nini sijui, nakula tu, utavikuta.
Mungu azidi kukupigania na kizazi chako chote [emoji120]
Hongera sana.Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni jina jamani ni wakike...
#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂Yapo maneno mengi ambayo sio rasmi na hayana staha ila ni ya kizamani.
Tutumie maneno tunayo yaelewa maana yake na mahali pa kuyatumia.
NIMECHOKA KUANDIKA.
Itakua ni Nswalu hio ila wengine wanaita mlenda wa ungaAisee!!
Hii ni changamoto nyingine sasa.
Kila jambo huja na kusudio lake, Mungu pekee ndiye atakaye tuvusha ndugu yangu.
Ugali na mboga fulani ya unga unga anaikorogaga na nini sijui, nakula tu, utavikuta.
Mungu azidi kukupigania na kizazi chako chote [emoji120]
Masha Allah. MabroukOyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni jina jamani ni wakike...
#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hongeraaaa......Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni jina jamani ni wakike...
#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jinsia gani bwana chelsea ollachuga?Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni jina jamani ni wakike...
#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku pia mvua ni nyingi jirani.Kwema jirani mvua tu za masika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Neno KOMA
Kwa walio ishi Mwananyamala miaka hiyo ya themanini wanaukumbuka mtiti uliokuwa unatokea likitamkwa neno hili, hasa kwenye mchezo wa REDE.
Ni neno linalo patikana kwenye sentensi "KOMA KAMA ULIVYO KOMA KUNYONYA ZIWA LA MAMA YAKO"
Ni neno lililo tamkwa na mabinti zaidi kuliko wanawake wazima. Akina mama waliishia kusema "wee koma..."
Navyojua kwenye magroup ya aina hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vinapachika watu wao ili kuangalia maudhui.Huyu jamaa alianzisha magroup karibia 100+ ya Wasukuma huko WhatsApp. Katibu mkuu wa magroup haya alikuwa Bishop mwenzake hivi. Baadaye waligombana yule bishop mwingine akajitenga na kwenda naye kuanzisha magroup yake mengine 100+ huko. Hoja yao ilikuwa ni kwamba magroup yangezaa umoja ambao hatimaye ungeweza, mbali na mambo mengine yakiwemo kusaidiana, kuendeleza mila na utamaduni wa Wasukuma. Walidai kwamba makabila mengine pia yana umoja na jumuia za aina hii sehemu mbalimbali hapa nchini.
Nilikuwa memba wa kundi moja lakini niliondoka kwa sababu hakuna cha maana kinachoendelea huko. Na kama ni haya magroup yaliyomfanya Rashid ahojiwe basi wamwachie tu. Hakuna lo lote la maana linaloendelea huko na group linaweza kukaa hata mwezi hakuna kinachowekwa halafu anakuja kuposti mtu offer za kujipatia iPhone za bure kutoka Apple. Ni utopolo tu!