Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mara ya mwisho nimekunywa urojo jumanne ya wiki hii.
kupumzika kwangu haimanishi ya kwamba siwezi kunywa urojo.
vipi wataka kunipikia?
Mzanzibar hujui hata kuvua samaki
mara ya mwisho nimekunywa urojo jumanne ya wiki hii.
kupumzika kwangu haimanishi ya kwamba siwezi kunywa urojo.
vipi wataka kunipikia?
Labla nikupikie ugali wa kisukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…