BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kwa mwezi huu ni mtihani sheikh.
Leo nlikutana nalo moja umelipost nlitoka fasta na Astaghfirullah nyingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha chungu cha tatu RamadhanCha tatu nini?
Ngoja mabaharia waje [emoji23]
Sidhani kama amezidi 27Aseee, kwahiyo huyu kijana anaweza kuwa na umri chini ya miaka 20 au 30?
She looks like J-HUD....
Napenda sana wanawake wenye Personality kama ya J-Hud,
Hujambo dogoYaani we dogo nakutafuta kumbe umebadili jina.
She looks like J-HUD....
Napenda sana wanawake wenye Personality kama ya J-Hud,
Wanakuwaga wako real sanaaaaa.