Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnywa urojo na ugali wa Kisukuma wapi na wapi? Lakini mpendwa, unaweza kweli wewe kupika ugali wa Kisukuma kabisa tena ule mgumu kama jiwe? Sidhani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
huyo nuzulati ni miongoni mwa wale wasichana wanaopika chakula kwa kutegemea zaidi mgahawa. hivyo basi hilo sembe la kisukuma labda akalinunue kwenye mgahawa wa shishi baby
 
Duh.. mwanzo hii ilikuwa kazi ya serikali tu kupitia NASA. Kumbe sasa wanaikasimisha kwa hawa Wajasiriamali nguli!
 
Miamba ya soka ya Uhispania klabu za Barcelona na Real Madrid zinaweza kuangukia pua katika mbio za usajili wa mshambuliaji hatari wa klabu ya Borussia Dortmund na timu ya Taifa ya Norway Erling Braut Haaland, 20. Mshambuliaji huyo anataka dau la Euro million 35 kwa mwaka, day amble Barca na Madrid hued wasilifikie. (Goal)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…