iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Namba zote nmecheza hapo mpaka nilishindikana shule! Ila nlkuja acha ujinga nikawa napenda shule na walimu wakashangaa na kunipa support sana baada ya kutafakari maisha niliyotoka ni magumu na hakuna mkombozi zaidi ya elimu..
vyakula vinavyouzwa havijanivutia, bila ya shaka wafahamu sisi wakorea wa Pemba tunavutiwa sana na vyakula vitamu.
👍 👍I am thankful for all of those who said NO to me. Its because of them I’m doing it myself.
– Albert Einstein
Duh!!If you're homeless just buy a house