Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Block NotificationsNifanyeje izi notification ya hii thread zisiingie mda wote message tu nishachoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo jamani na pozi lako na aunt yetu mremboView attachment 1762472
Ankoo salaam[emoji120]
kwani umelazimishwa kuja huku kwa jamii ya wasukuma gangs.....likes
Block Notifications
Msuk hapo anaingiaje? Tena uandae ng'ombe wa maana safari hii umalizie deni vizuri. Our Kabula is not short [emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kumtofautisha mnyaki na msuku kwa matendo yao ni kazi sana.
Hapa hatuzungumziagi cho chote. Hapa ni likes tu kamanda [emoji16][emoji16]Wazee Wa Support, Kupeana Likes & Comments.. Hebu Tuizungumzie Hii
[emoji117]NI Moto Au Maji [emoji2]View attachment 1762322
Huyu ni malaika ama?SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA.
1: Mwaminifu ktk kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Hadekezi watoto.
4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla.
5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
6: Ni mvumilivu.
7: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.
8: Ni msafi wa mwili,nyumba na mavazi.
9: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
10: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
11: Ni mleta mahusiano mema ktk familia zote.
12: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
13: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.
14: Asiwe mgomvi, mtafuta makosa na asiwe anaishi na mume kwa Kusikiliza maneno ya marafiki, au kufanyia kazi maneno ya kuambiwa.
Ankali Habari za masiku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamanii!
[emoji120][emoji120]Hongereni wakulima wote..
[emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe jioni njema..
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani umelazimishwa kuja huku kwa jamii ya wasukuma gangs.....likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kumtofautisha mnyaki na msuku kwa matendo yao ni kazi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kumtofautisha mnyaki na msuku kwa matendo yao ni kazi sana.
Safii sana[emoji120][emoji120]View attachment 1762603