Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji120][emoji120]View attachment 1762603
Mungu Aendelee kuwalinda hivyo hivyo. Sasa moto unawaka huko kwa Wahindi. Kweli Mungu Anawapenda kwa namna ya kipekee sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE ile april ya watu kudondoka kama kuku wa mdodo ishapita. Tanzania hatuna corona bro
Madawa haya yalikuwa yameadimika kidogo. Naona jamaa wamerudi kwa kasi. Tani nzima ni mateja kibao hapo...na tani nyingine nyingi ambazo zimepenya...Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa
Is this business related to terrorist in Mozambique?? Just trying too think outside the boxwww.jamiiforums.com
Chakula maarufu cha wahindi, hasa mabanianiUgonjwa wangu huu chakula hakinogi bila pilipili mbuzi au kichaa tena natafuna mbichi au kuiweka kwenye mboga. [emoji39][emoji39][emoji39]
Ni kweli madawa yaliadimika sana.Madawa haya yalikuwa yameadimika kidogo. Naona jamaa wamerudi kwa kasi. Tani nzima ni mateja kibao hapo...na tani nyingine nyingi ambazo zimepenya...
View attachment 1762691View attachment 1762692
inasikitisha sana jamaa wanachowaza ni hela tuMadawa haya yalikuwa yameadimika kidogo. Naona jamaa wamerudi kwa kasi. Tani nzima ni mateja kibao hapo...na tani nyingine nyingi ambazo zimepenya...
View attachment 1762691View attachment 1762692
kuna chanjo ya corona inaitwa pifiza sijui nimepatia jina nasikia wamesema hio chanjo ni ya maisha. ukichoma ya kwanza basi kila mwaka lazima uchome nyingineMungu Aendelee kuwalinda hivyo hivyo. Sasa moto unawaka huko kwa Wahindi. Kweli Mungu Anawapenda kwa namna ya kipekee sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1762690
Pfizer. Hakuna anayejua kuhusu chanjo hizi. Zinaweza kuwa sawa na zile za infuluenza ambazo inabidi kuchoma kila mwaka. Cho chote kinawezekana.kuna chanjo ya corona inaitwa pifiza sijui nimepatia jina nasikia wamesema hio chanjo ni ya maisha. ukichoma ya kwanza basi kila mwaka lazima uchome nyingine
Wanasema kuwa kwenye hii biashara ukikamata mmoja jua kuwa 10 wameshapenya. Wamarekani hawa wana mpaka satellites za kuangalia vyombo vya bahari na ndege zinazofanya safari zisizo rasmi kutokea huko Colombia na Venezuela lakini mizigo huwa inaingia tu. Biashara hii kuizima vigumu sana. Tunaweza kurudi na kuwa supplier mkuu wa sembe katika eneo hili kama ilivyokuwa zamani tusipokuwa makini.Ni kweli madawa yaliadimika sana.
Hata hivyo jambo la kupongezwa ni kwamba wahusika wamekamatwa.
Ni vema sasa sheria ichukue mkondo.