BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mbona kama ni nyanya hizo au macho yangu mabovuUgonjwa wangu huu chakula hakinogi bila pilipili mbuzi au kichaa tena natafuna mbichi au kuiweka kwenye mboga. 😋😋😋
Shemeji ondoa shaka kwenye mahari,nawanenepesha kwa fujo ili siku ya kuwaswaga watembee kwa tashwishi na sura zao ziwe na bashasha [emoji3][emoji3][emoji3]Msuk hapo anaingiaje? Tena uandae ng'ombe wa maana safari hii umalizie deni vizuri. Our Kabula is not short [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1762578
Salama kabisa Anko. Kwema?Ankali Habari za masiku
nice
Nitaludi...nice
😀nimeipenda hiiTafiti: Wanaume wanaowasaidia Wake/Wachumba zao kazi mbalimbali za nyumbani huwa na furaha zaidi na pia tendo la ndoa hufanyika mara nyingi zaidi.
AiseeeTafiti: Watu wanaopenda kutumia maneno makali/matusi mara kwa mara kwenye maongezi huongoza kwa kuwa waaminifu zaidi tofauti na wasiopenda kufanya hivyo.
Chanzo: Forbes