myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii...kujikuna tu ndio Shida baada ya kula😂Chakula maarufu cha wahindi, hasa mabanianiView attachment 1762715
Safiii sana
Duh....itakuwa mbaya sanaPfizer. Hakuna anayejua kuhusu chanjo hizi. Zinaweza kuwa sawa na zile za infuluenza ambazo inabidi kuchoma kila mwaka. Cho chote kinawezekana.
Nadhani mwendazake alikuwa sahihi kusema tusubiri kidogo.
👍👍Niko hapa leo kumwaga likes za kufa mtu
Hawa Jamaa Siku Hizi Bidhaa Zao Zinaongezeka Tu Bei Aisee.. Watumiaji Wa Vyombo Vya Moto Bila Shaka Mnanielewa!
Hata mimi napenda pilipili mno...nanyweaga na chai asubuhi.Imebidi nikaziangalie tena, naona ni pilipili mbuzi halafu za hivyo huwa ni kali sana huwezi kuimaliza. Mkuu moudgulf ni pilipili hizo au nyanya?