Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

moudgulf
tukitaka kuifahamu Quran tukufu tusikimbilie tafsiri yake pekee bali msingi mkuu wa ufahamu wa Quran ni ubobevu wa lugha yake iliotumika , funzo kubwa nimelipata kupitia hii videos na nyenginezo.

kongole kwake nouman ali khan kwa kuifanya kazi ngumu mno ya kiutafiti
ukiwa na muda na bando la kutosha usisite kupita hapa, kama huna mzigo wa bando zipo short videos zake
 
Ntumie PM please.
 
Hivi hawa watu walifikiri kama jinsi sisi tunavyofikiria leo.View attachment 1764808
Inawezekana kuliko hata sisi tunavyofikiri.
Hawa ni moja ya viongozi wenye kipaji cha uongozi.
Kiongozi ni zaidi ya jina,sifa na nafasi.
Ndio maana kuna maamuzi hawa watu walifanya nyakati zao mpaka leo tunakula matunda yake.

Wanastahili heshima ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…