moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kura yangu hapa aisee inakura wote siachi hata uo mfupa E......kura yako tafadhali....View attachment 1764986
India hali ni tete
Wagonjwa 3523 wamepoteza maisha ndani ya saa 24.
Mwenyezi Mungu awajaalie nusra.View attachment 1771631
Pole aiseeHizi picha Mkuu sizipendi kuziangalia kabisa. Kama naangalia TV wakiweka hizi nahama channel. Miili ya binadamu utadhani mishikaki duh! [emoji22]
Pole aisee
Mh..Team Bashiru Ali pitia hapa[emoji116]
"Mbona Bashiru Ali hakuondoshwa ukatibu mkuu wa CCM na Rais Samia,
Aliondolewa na marehemu rais Magufuli na hakukuwa na vijimaneno tunavyovisikia leo.
Manung'uniko haya yanatoka wapi?
Mama Samia amemuondoa kwenye KMK ambalo ni jambo la kawaida, jee rais Samia amefanya kosa kumpa ubunge?
Uongozi kwenye nchi hii ni haki ya kila mtanzania, Bashiru Ali ni kitu gani?
Pamoja na yote Uongozi wa Bashiru Ali ndiyo ulioongoza kukata wagombea wengi walioshinda kwenye nafasi mbalimbali za uongozi.
Ukatibu mkuu wa Bashiru Ali ulifyeka wagombea ubunge karibia robo ya wale walioshinda kwenye maeneo yao bila sababu za msingi.
Chini ya dr Bashiru kulikuwa na ukiukwaji wa kiwango cha juu wa kanuni za chama hiki.
CCM chini ya Bashiru iliongozwa kwa matamko badala ya Katiba, kanuni na miongozo tuliyojiwekea.
Bashiru Ali ni msomi, lakini ameivuruga sana CCM " ; Hajji Juma, mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM 'NEC' kutoka mkoa wa Pwani.
Team Bashiru soma hiyoView attachment 1771189View attachment 1771204
Safiii
Chama kinatetewa tena na waganga?Ndio ile "ajue kusoma na kuandika"
Huyu dogo anaweza kuwa mbunge kijinga jinga tu.
Hahahaha..Team Bashiru Ali pitia hapa[emoji116]
"Mbona Bashiru Ali hakuondoshwa ukatibu mkuu wa CCM na Rais Samia,
Aliondolewa na marehemu rais Magufuli na hakukuwa na vijimaneno tunavyovisikia leo.
Manung'uniko haya yanatoka wapi?
Mama Samia amemuondoa kwenye KMK ambalo ni jambo la kawaida, jee rais Samia amefanya kosa kumpa ubunge?
Uongozi kwenye nchi hii ni haki ya kila mtanzania, Bashiru Ali ni kitu gani?
Pamoja na yote Uongozi wa Bashiru Ali ndiyo ulioongoza kukata wagombea wengi walioshinda kwenye nafasi mbalimbali za uongozi.
Ukatibu mkuu wa Bashiru Ali ulifyeka wagombea ubunge karibia robo ya wale walioshinda kwenye maeneo yao bila sababu za msingi.
Chini ya dr Bashiru kulikuwa na ukiukwaji wa kiwango cha juu wa kanuni za chama hiki.
CCM chini ya Bashiru iliongozwa kwa matamko badala ya Katiba, kanuni na miongozo tuliyojiwekea.
Bashiru Ali ni msomi, lakini ameivuruga sana CCM " ; Hajji Juma, mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM 'NEC' kutoka mkoa wa Pwani.
Team Bashiru soma hiyoView attachment 1771189View attachment 1771204
Jamii yoyote ya maharage (legumes) inatosheleza: dengu, choroko, mbaazi, njugu mawe, ....nkSasa maharage tena bro, sipendi nyama nyekundu lakini maharage nayo siyapendi bhana.
Vegetable ndiyo kila kitu